MAHALI TULIPO

Ofisi Zetu

Karibu utembelee au uwasiliane na ofisi zetu za huduma ya usafi (Dry Cleaning) zinazopatikana katika maeneo mawili jijini Dar es Salaam. Kila ofisi ina timu iliyo tayari kukuhudumia kwa weledi, heshima na uaminifu.

  • 2 Ofisi za Dry Cleaning
  • Dar es Salaam
  • Oda kupitia WhatsApp

Ofisi za Dry Cleaning

Huduma unayoipata

Huduma ya usafi ndiyo asili ya kampuni yetu. Tunatoa usafi wa kitaalamu wa nguo, tukitumia umakini na uangalifu ili kuhifadhi ubora, muonekano na usafi wa nguo zako, na kuzirejesha kwa wakati uliokubaliwa.

Tazama huduma ya Dry Cleaning →

Jinsi ya kuweka oda

  1. Tembelea tangazo la huduma unayoihitaji kwenye tovuti yetu.
  2. Bonyeza kitufe cha kuweka oda kwenye tangazo husika.
  3. Oda yako itapokelewa kwa njia ya WhatsApp kulingana na ofisi ya huduma uliyochagua.
  4. Timu yetu itakujibu na kukupa maelekezo ya hatua zinazofuata.

Huduma nyingine

Kila huduma yetu ina ofisi, timu na namba yake ya simu. Piga simu ya huduma husika kupata maelekezo.

Unahitaji msaada kupata ofisi?

Tuandikie WhatsApp au tupigie simu, tutakuelekeza kwa haraka.